
Dogo rama kushoto akiimba na Saulo Fagurson

Jojo Jumanne na Miraji Shakashia wakicharaza magitaa

Saulo Fagurson akiimba

Haba baba na mwana Kalala Junior anayepiga gitaa pia ni mtoto wa Komandoo Hamza kalala hapa akimthibitishia baba yake kwamba mtoto wa nyoka ni nyoka
Kalala Junior akipiga gitaa huku akiwa amepiga magoti babake Komandoo a.ka. Mzee wa Madongo akimfurajia

Mwimbaji wa kike Janeth Isinike akicheza shoo sambamba na wachezaji wa kiume ambao wanamfuata nyuma

Janeth anayeonekana nyuma yake ni Super Nyamwela

Jojo Jumanne
Msafiri Diouf
0 Comments