Waombolezaji wakisindikiza mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari mwandamizi katika Kampuni ya New Habari ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Bingwa , Rai na The African marehemu Primitiva Pancras (28) leo jioni katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.Marehemu amefariki kutokana na matatizo ya uzazi pia amaecha mume.Mungu aipumzishe roho yake kwa amani Bwana ametoa Bwana ametwaa

Post a Comment

1 Comments

Anonymous said…
mbona unatuchanganya dada,wenzako wasema amekufa baada ya kuugwa kwa muda mfupi na pressure ya ghafla wwe unatuambia uzazi sasa tushike lipi?