Social Icons

Monday, June 1, 2015

NGUMI KUFANYIKA TENA BAGAMOYO JUNE 14 UKUMBI WA TASUBA

Na Mwandishi WetuNGUMI kupigwa tena Bagamoyo mpambano mkali wa masumbwi utakao wakutanisha Mfaume Mfaume wa Manzese pamoja na Adam Ngange wa Chanika utafanyika Bagamoyo katika ukumbi wa TASUBA siku ya june 14 ambapo watasindikizwa na mipambano mingine mikali siku hiyobondia Iddi Pialali 'Simba Aliyejeluiwa' atapambana na Sweet Kalulu wakati Raymond Mbwago atapambana na Haridi Hongo na Ramadhani Sebe atakabiliana na Said Kassim mpambano mwingine utakuwa ni kati ya bondia Abdalla Pazi' Mfalme wa wazalamu' atakae pambana na Haridi Van Dame' wa Kawesiku hiyo pia kutakuwa na burudani za mziki wa kizazi kipya ambapo msanii Jumanne Iddi na Sam wa ukweli ambao watapamba burudani za mchezo uho wa masumbwiKatika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vileFloyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengipia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

No comments:

 
 
Blogger Templates