Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Steps
Solar Moses Mwanyilu 'kulia' akizungumza na waandishi wa habari awapo
pichani jinsi watakavyotoa huduma yao ya kuunganisha solar katika baadhi ya vituo vya watoto yatima,shule pamoja na taasisi za serikali katikati ni Katibu mtendaji wa Tanzania Renewable Energy Association 'TAREA' Mathew Matimbwi na Meneja mipango wa TAREA, Emma Laswai kwa kushirikiana na TAREA Picha na Mpigapicha wetu
BUNIFU NA TAFITI ZA NELSON MANDELA KUPATA SOKO USWISI
-
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela
Prof. Maulilio Kipanyula ( kulia) akimkabidhi zawadi Balozi wa Uswisi
nchini...
2 hours ago
0 Comments