TUNAWATAKIA nawatakia Sikukuu njema ya Eid El Fitri,
wadau wote wa mitandao hiyo. Tusherehekee kwa amani na utulivu na
kufanya mema yote yaliyoamrishwa na Mwenyezi Mungu na kuendelea kuyakataa
yale yote yaliyokatazwa, Inshaallah. Na pia tuuenzi mwezi huu kama
mwalimu mzuri kwa kuendelea kutenda mema na kuyaacha yote tuliyoyaacha
ndani ya huu mtukufu wa Ramadhan na Leo ni Mwezi Mosi Shawwal 1434,
Sikukuu iliyotukuka kwa Waumin wote wa Kiislam. MUNGU ATUJAALIE KUYAACHA
MABAYA YOTE TULIYOYAACHA KIPINDI CHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN, NA
ATUONGOZE KUENDELEA NA MEMA, AMINA INSHAALLAH
YAKUSANYA TRILIONI 7.53 JANUARI HADI MACHI 2025
-
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53
katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanis...
7 minutes ago
0 Comments