Juma Shoka Salumu
Dilunga Kushoto akicheza mchezo wa bao na Salumu Dilunga wakati walipokuwa
maeneo ya Changamoto Mkoa wa Tabora jana mchezo huo uliozoeleka kuchezwa
mikoa ya pwani imeleta chachu kubwa kwa wakazi wa mkoa wa Tabora picha na blog ya SUPER D
TAMASHA LA PASAKA LARUDI KWA KISHINDO 2026
-
Tamasha la Pasaka, linaloandaliwa na kuratibiwa na Msama Promotions,
limeendelea kuwa tukio muhimu la muziki wa Injili nchini Tanzania. Kwa
msimu huu, ...
4 hours ago
0 Comments