Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba, leo Oktoba 31, 2024 amekutana na Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Firimin Msiangi ambapo wamejadiliana kuhusu kushirikiana kuitangaza idara hiyo na kuboresha uhifadhi wa nyaraka hizo kidijitali.
Afya Bora Yatajwa Msingi wa Uchumi Imara na Tija kwa Taifa
-
UBORA wa rasilima watu( Afya na Maarifa) ndio sarafu ya dunia kwa sasa na
hivyo kete muhimu kwa Tanzania kujiunga na Mataifa tajiri mwaka 2050(
Trili...
13 hours ago


0 Comments