UWT YALAANI VIKALI KITENDO CHA UDHALILISHAJI NA UKATILI WA KIJINSIA,YAAHIDI KUSIMAMIA KESI



Mwenyekiti wa UWT Taifa Mama Mary P. Chatanda (MCC) amelaani vikali kitendo kilichofanywa na vijana watano kumbaka na kumlawiti binti mkazi wa Temeke Jijini Dar Es Salaam

Akizungumza na vyombo vya habari  mapema asubuhi  ya tar 6/8/2024 akiwa  wilayani Sengerema ameagiza Kamati ya Katiba na Sheria ya Uwt Taifa pamoja na Kamati ya Kupambana na Ukatili wa Kijinsia kwa Wanawake na Watoto kuanza kulifanyia kazi mara moja suala hili na kutoa msaada wowote utakaohitajika  kwa mhanga wa Tukio hili la Ukatili

#Uwt imara
#Jeshi la Dkt Samia,Dkt Mwinyi
#Ushindi ni lazima
#Mitano tena

Post a Comment

0 Comments