orodha ya wachezaji 18 waliochaguliwa kujiunga/kuendelea na timu ya Taifa ya Ngumi


orodha ya wachezaji 18 waliochaguliwa kujiunga/kuendelea na timu ya Taifa ya Ngumi itakayo shiriki mashindano mbalimbali ya kimataifa ikiwemo ya Kufuzu Olympic yatakayo fanyika Yaounde,  Cameroon 9-20 March, 2016 na Olympic Rio 2016 nchini Brazil mwezi wa August.
Pamoja na wachezaji hao pia nimeorodhesha walimu watakao ifua timu yetu ya Taifa.
WACHEZAJI
49.Kg Light fly weight
1. Said Jabir (Ngome)
2. Mustafa Amri (Kawe)
52.Kg Fly weight


1. Said Omary (Kigoma)
2. George Constantino (Ngome)

56. Kg Bantam weight
1. Hamadi Furahisha (JKT)
2. Hamduni Issa (JKT)
60. Kg Light weight
1. Ismail  Galiatano (Ngome)
2. Mwalami Salumu (Temeke)
3. Nasa Mafuru (Magereza)
64. Kg Lightwelter weight
1. Kevin Kipinge (Ngome)
2. Adam Hassan (JKT)
69. Kg Welterweight
1. Selemani Salum Kidunda (Ngome)
75. Kg Middle weight
1. Joseph Peter (Ngome)
2. Moses John (Kigoma)
81. Kg Light heavy weight
1. Leonard Machichi (Ngome)
2. Mohamed Hakimu (Kawe)
91 Kg. Heavy weight
1. Alex Sita Mpini Sulwa (JKT)
91+  Super heavy weight
1. Haruna Swanga Mhando (Ngome)
KOCHA MKUU
1. Benjamin Musa OYOMBI - Ni kutoka Kenya na ana Nyota 3 ya ukocha wa Kimataifa inayotambuliwa na shirikisho la Ngumi la Dunia AIBA.
MAKOCHA WASAIDIZI
1. Remmy Ngabo - Magereza
2. Said Omary (Gogopoa) - Temeke
3. Jonas Mwakipesile.
Kuelekea kwenye Mashindano ya kufuzu Olympic yatakayofanyika Yaounde, Cameroon 9-20 March 2016,  Timu ya Taifa itapeleka mabondia 8 kushiriki mashindano hayo.
Shirikisho liko katika mchakato wa kutafuta kiasi cha Dola za kimarekani 29,300 (Tzs 64,500,000), Tunaomba wadau, wadhamini na serikali kujitokeza kutuunga mkono kufanikisha safari hii kwenda kushiriki mashing a no haya ya kufuzu nchini Cameroon.

Post a Comment

0 Comments