Bondia Vicent Mbilinyi akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Deo Njiku utakaofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro siku ya Desemba 25 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Mabondia Deo Njiku kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho katika uwanja wa jamuhuri Morogoro kwa ajili ya sherehe za xmas Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Lulu Kayage akipima uzito |
Mwanne Haji akipima uzito |
Promota Kaike Siraju katikati akiwainia mikono juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao siku ya desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Mabondia Thomas Mashali na Fransic Cheka wakitambiana baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Desemba 25 utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS |
BONDIA IBRAHIMU CLASS KING CLASS MAWE AKIPIMA UZITO |
0 Comments