Mbunge anayemaliza muda wake,Philemoni Ndesamburo akimuombea kura mgombea Ubunge wa jimbo la Moshi mjini Jafary Michael (Chadema) katika mkutano uliofanyika katika viwanja vya Manyema mjini Moshi. |
Baadhi ya wakazi wa Moshi waliojitikeza katika mkutano huo. |
Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, Zanzibar Said Issa Mohamed akiwahutubia wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katka mkutano huo. |
Baadhi ya wakazi wa mji wa mOSHI. |
Mgombea Udiwai kata ya Pasua,Mkome Mkalakala. |
Mgombea Udiwani kata ya Majengo,Mwalimu Minja. |
Mgombea Udiwani kata ya Rau,Peter Kimaro. |
Mgombea Udiwani kata ya Miembeni,Mbonea Mshana. |
Mgombea Udiwani kata ya Longuo,Raymond Mboya. |
Mgombea Udiwani kata ya Ngambo,Genesis Kihwelu . |
Mgombea Udiwani kata ya Mji Mpya,Abuu Shayo. |
Mgombea Udiwani kata ya Njoro,Jomba Khoi. |
Baadhi ya Wagombea wa nafasi ya Udiwani katika kata mbali mbali ndani ya jimbo la Moshi mjini wakifuatilia mkutano huo akiwemo mgombea Udiwani kata ya Ngangamfumuni.Anthony. |
Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa,upande wa Zanzibar,Said Issa Mohamed akitoa maelekzo namna ya kupiga kura na kukunja karatasi mara baada ya kupiga kura yako, |
Aliyewahi kuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Lameck Kaayaa aliyekihama chama cha Mapinduzi hivi karibuni akiwa katika mkutano huo. |
Umati wa watu uliojitokeza katika mkutano huo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
0 Comments