Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila akimkabidhi mkataba bondia Seba Temba baada ya kutia saini ya makubaliano ya kupambana na Pius Kazaula mpambano utakaofanyika desemba 25 katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Seba Temba kushoto akitia saini
katika mkataba wake kwa ajili ya kupambana na Pius Kazaula mpambano
utakaofanyika Desemba 25 katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Seba Temba kushoto akitia saini katika mkataba
wake kwa ajili ya kupambana na Pius Kazaula mpambano utakaofanyika
Desemba 25 katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
0 Comments