Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa
wa pili kushoto akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya Kampuni hiyo kuchangia shilingi Mil.10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino. Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Limited.[ Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino. Mkutano wa waandishi wa habari na Kamati ya Imetosha Foundation ukiendelea idara ya habari maelezo, ambapo pia ulipokea mchango wa milioni 10, zilizotolewa leo na kampuni ya Tanzania Distilleries Limited kusaidia kampeni maalum za kupinga mauaji ya albino nchini Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kulia) akizungumza kwenye mkutano huo. TBN inashirikiana na Imetosha Foundation kupaza sauti kupinga mauaji ya watu wenye ualbino nchini Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Limited. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi. Baadhi ya wanachama wa Imetosha Foundation wakiwa katika Mkutano na waandishi Idara ya Habari MAELEZO. Kamati ya Imetosha Foundation akiwa katika mkutano na wanahabari kupokea mchango wa milioni 10, zilizotolewa leo na kampuni ya Tanzania Distilleries Limited kusaidia kampeni maalum za kupinga mauaji ya albino nchini.
Watu 75 Wameokolewa, zoezi la uokoaji linaendelea kwa ufanisi
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Juhudi za Serikali kupitia vikosi mbalimbali katika zoezi la uokoaji wa
manusura wa ajali iliyotokea jana Novemba 16,2024...
2 hours ago
0 Comments