Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba,
Kapteni John Komba, Bungeni mjini Dodoma Septemba 29, 2014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Ameir kificho (kushoto) na Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi wakiteta, Bungeni mjini
Dodoma Septemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta akifafanua kuhusu namna
wajumbe wa Bunge hilo watakavyopiga kura, bungeni mjini Dodoma Septemba
29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Bernard Membe
wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 29, 2014. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments