SMILEON KUWEZESHA WATEJA WAKE KUWA HEWANI MTANDAONI PALE KIFURUSHI CHA INTANET KINAPOKWISHA


Baadhi ya mahofisa wa Smile wakiwa na furaha uku wameshikili vipeperushi vinavyo onesha kuwezesha wateja kuendelea kuwa hewani mtandaoni pale kifurushi cha intanet kinapoisha.
Mkuu wa Masoko wa Kampuni Smile, Linda Chiza kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya SimelON kuwezesha wateja kuendelea kuwa hewani mtandaoni pale kifurushi cha intaneti kinapokwisha kushoto ni Head of Operational Efficiency and Compliance Bw. Athumani Nzowa
Mkuu wa Masoko wa Kampuni Smile Bi, Linda Chiza kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya SimelON kuwezesha wateja kuendelea kuwa hewani mtandaoni pale kifurushi cha intaneti kinapokwisha kushoto ni Head of Operational Efficiency and Compliance Bw. Athumani Nzowa na kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo wa Smile Edgar Mapunde.


Baadhi ya waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini  maofisa wa Smile

Post a Comment

0 Comments