Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akifuturu pamoja na
mabondia na wadau wa mchezo huo wa pili kushoto ni Bondia Ibrahimu Class
'King Class Mawe' Birali Ngonyani, Shomari Mirundi, Raymond Mbwago
wakati wa futari iliyoandaliwa na kucha huyo nyumbani kwake Rozana Dar
es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Baadhi ya waumini wa dini ya kislam
wakiomba duwa baada ya kufuturu katika futari iliyoandaliwa na kocha wa
kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' mwenye
kibagarashia na kanzu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia na wadau mbalimbali wakifurahia futari iliyoandaliwa na kocha Super D |
Futari ikienderea
Kocha Rasjabu Mhamila 'Super D' katikati mwenye kibagarashia na kanzu
akiwa katika picha na baadhi ya mabondia na wadau wa mchezo wa masumbwi
baada ya kufuturu nyumbani kwake rozana Dar es salaam
Kocha Rasjabu Mhamila 'Super D'
katikati mwenye kibagarashia na kanzu
akiwa katika picha na baadhi ya mabondia na wadau wa mchezo wa masumbwi
baada ya kufuturu nyumbani kwake rozana Dar es salaam kutoka kulia ni
Birali Ngonyani,Ibrahimu Class, Mohamed Sadiq, Raymondi Mwago wa pili
kushoto na aliyechuchumaa ni Shomari Mirundi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
WADAU WAKIPIGA PICHA YA KUMBUKUMBU NA KOCHA SUPER D
WADAU WAKIPIGA PICHA YA KUMBUKUMBU NA KOCHA SUPER D
0 Comments