Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi jengo la ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Ruvuma jana mjini Songea.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na kaimu Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU
Bibi Mary Mosha wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa
ufunguzi wa jingo la ofisi za TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma jana. Rais Kikwete
yupo katika ziara ya kikazi ya wiki moja mkoani Ruvuma
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu wakati wa ufunguzi
rasmi wa ofisi za taasisi ya kuzuia rushwa TAKUKURU mkoa mjini Songea
jana. Kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bibi Mary Mosha. Picha na Fredy Maro, IKULU
0 Comments