Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akitoa hotuba kwa wafanyakazi wa Mfuko huo baada ya futari iliyoandaliwa na Ofisi yake kwa wafanyakazi wake kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam .
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio(Wapili kushoto) na
baadhi ya wajumbe wa bodi ya wadhamini ya Mfuko huo, wakishiriki futari
iliyoandaliwa na ofisi yake kwa wafanyakazi wa PPF kwenye hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakishiriki futari
iliyoandaliwa na Mfuko huo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakishiriki futari
iliyoandaliwa na Mfuko huo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichukua chakula wakati
wa futari iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa wafanyakazi wake, kwenye hoteli
ya Serena jijini Dar es Salaam
0 Comments