Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati alipokuwa mgeni rasmi kukabidhi Tuzo za washindi wa
mashindano ya kuhifadhi qur-aan, yaliyofanyika leo Julai 20, 2014,
kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi, mshindi wa pili wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an,
ambaye ni Mtanzania, Said Omary Said, wakati wa hafla ya hitimisho la
mashindano hayo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar
es Salaam, leo Julai 20, 2014. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa awamu
ya pili, Ali Hassan Mwinyi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi, mshindi wa kwanza wa mashindano ya kuhifadhi
Qur-an, Hatham Sadar, kutoka nchini Kenya wakati wa hafla ya hitimisho
la mashindano hayo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini
Dar es Salaam, leo Julai 20, 2014. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa
awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi.
0 Comments