Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga atoa msaada wa bidhaa mbali mbali kwa kituo cha kulelewa Watoto Yatima cha Casa Della Diaia,Tanga



Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga ya Kigango cha Mtakatifu Peter Feba Mabibo,Parokia ya Mtakatifu  Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francisn Mihayo na kiwakabidhi watoto wa kituo cha kulelewa Watoto Yatima cha Casa Della Diaia(Nyuma ya furaha) cha Bombo Tanga, msaada wa vyakula na  vitu mbalimbali walipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.
Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga ya Kigango cha Mtakatifu Peter Feba Mabibo,Parokia ya Mtakatifu  Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo  akiwakabidhi mlezi wa watoto wa kituo cha Casa Della Dioia(Nyumba ya  Furaha),Sister Consolata cha Bombo Tanga msaada wa vyakula na vitu mbalimbali walipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.
Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga  ya Kigango cha Mtakatifu Peter Feba Mabibo,Parokia ya Mtakatifu  Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Sylvester Tyienyi akiwaamembeba mmoja na watoto waishio katika mazingira magumu  wa kituo cha Casa Della Dioia(Nyumba ya Furaha) mkoani Tanga walipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.

Post a Comment

0 Comments