Mwili wa Adam Kuambiana ukiandaliwa tayari kwa kuagwa nyumbani kwake Bunju B jioni hii.
Waombolezaji
wakiwa msibani tayari kuaga mwili. Wa tatu kutoka kulia waliokaa mbele
ni mke wa marehemu Janeth Rithe ambaye ni Diwani Kata ya Kunduchi, Dar.
Watangazaji Sauda Mwilima (kulia) na Zamaradi Mketema (kati) wakiwa msibani hapo. Kushoto ni msanii Shamsa Ford.
William Mtitu (katikati) akiwa na waombolezaji.
Ibada ya kumuombea marehemu ikiendelea.
Mwili wa marehemu Adam Kuambiana ukitolewa kwa ajili ya kuagwa.
Baadhi ya wasanii baada ya kuwasili Bunju B.
Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani Bunju B.
Mwili wa marehemu ukishushwa kutoka kwenye gari Bunju B.
MWILI
wa mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana umeagwa
nyumbani kwake Bunju B, Dar ambapo ndugu, jamaa, wanasiasa, marafiki
wameshiriki tukio hilo. Kesho asubuhi mwili utapelekwa Viwanja vya
Leaders kuagwa na baadaye kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini
Dar
-
MAFANIKIO MAKUBWA HIFADHI YA JAMII :THAMANI YA MIFUKO IMEPAA KUFIKIA
SH. TRILIONI 24
Sekta ya Kinga ya Jamii nchini Tanzania imepata mafanikio maku...
KATORO YAPOKEA GARI LA ZIMAMOTO
-
Serikali mkoani Geita imeikabidhi gari la zimamoto mamlaka ya mji mdogo wa
Katoro gari ambapo linatarajiwa kuwa Msaada mkubwa kwa wananchi wa mji huo.
M...
Deciphering the Secrets of Tanzanian Wildlife
-
*Summary:* Go beyond the checklist. This blog post breaks down the unique
evolutionary traits found *only* in Tanzania's ecosystem.
We explore...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments