mjumbe wa bft antony mwangonda akiwa na makamu wa rais Lukelo Willilo
Na Mwandishi Wetu
MASHINDANO ya mchezo wa Ngumi yanayokwenda kwa jina la Nelsoni Mandela Open ChampionShip yameanza kutimua vumbi katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam
akizungumzia mashindano hayo yalivyo na ubora wa ali ya juu Makamu wa Rais wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa nchini 'BFT' Lukelo Willilo 'amesema mashindano hayo kwa sasa yameboleshwa kwa kufuata taratibu za chama cha ngumi za ridhaa Dunia
kwa sasa mabondia awavai kofia ngumu wanakuwa vichwa wazi hivyo wapenzi
wa ngumi weje waone mabadiliko makubwa katika ngumi za ridhaa ndio
ambazo ni msingi wa maendeleo ya mchezo wa masumbwi nchini;'
zamani
mabondia walikuwa wanavaa kofia lakini kutokana na mabadiliko sasa
awavai kofia wanapigana vichwa wazi ambapo kwa kuanzia tumeamua kuweka
mashindano haya kwenye viwanja vya wazi na ni bule tu akuna kingilio ili
kila mtu ajionee mabadiliko ya ngumi mashindano hayo yanayo husisha
mikoa mbalimbali nchini
mashindano
haya yatakuwa ya siku tano kuanzia jumatano mpaka jumapili na ngumi
zinanza kupigwa saa kumi na moja mpaka saa mbili usiku ngumi ndio
zitakuwa zikisha
Katika
ufunguzi huo bondia Patrck Kimweri wa Tanga alishindwa kufurukuta mbele
ya Said Jabir wa ngome na Rashidi Samvu wa Kigoma alipigwa kwa pointi
na Hafidhi Kassimu wakati Fabian Gaudence akimsambalatisha Hussein Mnimbo |
0 Comments