Katibu Mkuu wa Chama cha Albino Tanzania (TAS) Ziada
Msembo akipokea msaada wa vitu mbalimbali kwaajili ya Albino Dar es Salaam jana
kutoka kwa kwa Mkurugenzi mwenza wa
Kampuni ya Sheria ya Kibuuka, Paul Kibuuka. Katikati ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya
TAS, Mohamed Chanzi.
Paul Kibuuka (kulia) akizungumza na Uongozi wa TAS kabla ya kukabidhi msaada huo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Albino Tanzania (TAS) Ziada
Msembo akipokea msaada wa vitu mbalimbali kwaajili ya Albino Dar es Salaam jana
kutoka kwa kwa Mkurugenzi mwenza wa
Kampuni ya Sheria ya Kibuuka, Paul Kibuuka. Katikati ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya
TAS, Mohamed Chanzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Albino Tanzania (TAS) Ziada
Msembo akipokea msaada wa vitu mbalimbali kwaajili ya Albino Dar es Salaam jana
kutoka kwa kwa Mkurugenzi mwenza wa
Kampuni ya Sheria ya Kibuuka, Paul Kibuuka. Katikati ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya
TAS, Mohamed Chanzi.
Viongozi wa TAS wakionesha mafuta maalum ya kujipaka na kujikinga na jua waliyopokea.
0 Comments