Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na baadhi ya wabunge wa Tanzania
katika Bunge la Afrika Mashariki waliomtembelea Ikulu jijini Dar es
salaam leo Agosti 7, 2013. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya
Ushirikiano ya Afrika Mashariki, Dkt. Abdala Juma Abdulla Saadalla.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge
wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki waliomtembelea Ikulu
jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2013. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri
wa Wizara ya Ushirikiano ya Afrika Mashariki, Dkt. Abdala Juma Abdulla
Saadalla. PICHA/IKULU
TEA YAANZA UTEKELEZAJI MIRADI YA AMALI ZANZIBAR
-
Unguja
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imeanza rasmi utekelezaji wa miradi ya
amali kwa upande wa Zanzibar, ambapo shilingi bilioni 3.2 zimetengwa kwa
aji...
TEA YAANZA UTEKELEZAJI MIRADI YA AMALI ZANZIBAR
-
Unguja
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imeanza rasmi utekelezaji wa miradi ya
amali kwa upande wa Zanzibar, ambapo shilingi bilioni 3.2 zimetengwa kwa
aji...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments