Mhudumu
wa gari la kutolea huduma za afya linalotembea (mobile clinic) la Benki
ya NBC, Wilbard Kiria (kushoto) akimpa mtoto Mwanaharusi Salehe dawa ya
vitamin A katika kliniki ya wamama na watoto iliyokuwa ikiendeshwa na
wahudumu wa gari hilo katika eneo la Kunduchi Beach nje kidogo ya Jiji
la Dar es Salaam jana. Gari hilo ni moja ya magari matano yaliyotolewa
kwa Bodi ya Afya ya Mkoa wa Dar es Salaam ili kutoa huduma za afya bure
kwa wamama na watoto maeneo ya vijijini.
Mtoto
mkazi wa Kunduchi, Rukia Ramadhani akipimwa uzito katika kliniki ya
wamama na watoto iliyokuwa ikiendeshwa na wahudumu wa gari la kutolea
huduma za afya linalotembea (Mobile Clinic) la Benki ya NBC mahali hapo
nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana. Gari hilo ni moja ya magari
matano yaliyotolewa kwa Bodi ya Afya ya Mkoa wa Dar es Salaam ili kutoa
huduma za afya bure kwa wamama na watoto maeneo ya vijijini.
Anayempimawa pili kulia ni muuguzi wa gari hilo, Eliza Shayo.
Mhudumu
wa gari la kutolea huduma za afya linalotembea (mobile clinic) la Benki
ya NBC, Wilbard Kiria (kushoto) akimpa mtoto Pius Cosmas kidonge cha
vitamin A katika kliniki ya wamama na watoto iliyokuwa ikiendeshwa na
wahudumu wa gari hilo katika eneo la Kunduchi Beach nje kidogo ya Jiji
la Dar es Salaam jana. Gari hilo ni moja ya magari matano yaliyotolewa
kwa Bodi ya Afya ya Mkoa wa Dar es Salaam ili kutoa huduma za afya bure
kwa wamama na watoto maeneo ya vijijini
WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO MKUU WA JIMBO LA BUSEGA
-
*Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi
(CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim
Majaliwa, ak...
MKUTANO MKUU WA JIMBO LA BUSEGA
-
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi
(CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim
Majaliwa, ak...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments