Afisa
Utamaduni Jiji la Tanga, Peter Semfuko (katikati) ,Matron Hilda Mwinyi
(Kulia), na mratibu wa kamati ya maandalizi Kessy Salum Mbasha (Kushoto)
wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa fainali za taifa za Miss
Utalii Tanzania 2013, alipo kwenda kukagua kambi na kuzungumza na
warembo hao Jana katika hoteli ya Mwambani Tanga Beach.
PBZ wafanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation
-
Uongozi wa PBZ BANK, ukiongozwa na Mkurugenzi Mwendeshaji CPA Fahad Soud
Hamid, umefanya kikao muhimu na Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation Sheikh
Nur...
15 minutes ago
0 Comments