Makamu
wa Rais wa Benki ya Dunia katikati akifafanua jambo wakati wa
majadiliano, kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania,
Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier.
Mwakilishi
Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw.
Philippe Dongier akifafanua jambo katika majadiliano hayo.
Kutoka
kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dr. Silvacius Likwelile
pamoja na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Dr. Philip
Mpango akiwasilisha mpango wa maboresho katika Elimu, Maji, Nishati,
Usafirishaji, Rasilimali Fedha na Kilimo.
Ujumbe wa Tanzania ukuiwasilisha mpango wa maboresho ya maendeleo kwa Benki ya Dunia. Mpango huo unahusu maendeo katika maeneo ya Elimu, Maji, Nishati, Rasilimali Fedha, Kilimo na Usafirishaji.
Makamu
wa Rais wa Benki ya Dunia katikati akifafanua jambo wakati wa
majadiliano, kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania,
Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier.
Ujumbe wa Tanzania ukuiwasilisha mpango wa maboresho ya maendeleo kwa Benki ya Dunia. Mpango huo unahusu maendeo katika maeneo ya Elimu, Maji, Nishati, Rasilimali Fedha, Kilimo na Usafirishaji.
Mwakilishi
Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw.
Philippe Dongier akifafanua jambo katika majadiliano hayo.
Ujumbe kutoka Benki ya Dunia wakifuatilia kwa makini wakati Dr. Mpango akiwasilisha mpango wa maboresho hayo.
Kutoka
kulia ni Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Dr.Mpango akijibu hoja mara
baada ya kuwasilisha mpango wa maboresho. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha Dr. Silvacius Likwelile na Kaimu Balozi Ubalozi wa Tanzania Washington DC Bibi Lily Munanka.
Kutoka
kulia ni Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Dr.Mpango akijibu hoja mara
baada ya kuwasilisha mpango wa maboresho. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha Dr. Silvacius Likwelile na Kaimu Balozi Ubalozi wa Tanzania Washington DC Bibi Lily Munanka. Picha zote na Bi. Ingiahedi Mduma na Bi. Eva Valerian – Washington DC
0 Comments