Mchezaji wa Tanzania Bara Gofrey Edward akimuagusha chini na kumdhibiti
mchezaji wa timu ya Burundi Halfan Mkurunziza katika mchezo wa Fainali
ya Judo Afrika Mashariki mchezaji wa Tanzania ameshinda katika mchezo
huo.
Moja kati ya waamuzi wa mchezo huo wakiwa kazi ya kuhesabu alama za washiriki wa michuano ya judo ya afrika mashariki na kati inayofanyika Zanzibar .
Mchezaji wa Judo wa Zanzibar Masoud Amour akijaribu kumuagusha mchezaji
wa Kenya George katika mchezo wa fainal mchezaji wa Zanzibar alishinda fainal hiyo.
0 Comments