Wachezaji
wa Malindi, Abdala Said (no.5) na Amour Suleiman (katikati)
wakimdhibiti Thabit Khamis wa Mundu, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya
Grandmalt Zanzibar uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Mao Tse Tung mjini
Zanzibar. Katika mchezo huo Timu
ya Malindi ya Zanzibar huku ikiwa pungufu kutokana na mchezaji wake
mmoja kulimwa kadi nyekundu, iliweza kupata ushindi wa mabao 2-1 katika
dakika za mwanzo wa mchezo.
Abdalla said wa Malindi (kushoto) na Thabit Khamis wa Mundu wakichuana kuwania mpira
Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na Waziri wa Hijja na Umrah wa Saudi Arabia
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali
Mwinyi akifanya mazungumzo na Waziri wa Hijja na Umrah wa Saudi Arabia,
Mhe. Taw...
4 hours ago
0 Comments