Uhamisho wa Didier Drogba kuelekea Galatasaray ya
Uturuki uko mashakani kufuatia klabu yake ya Shanghai Shenhua kusisitiza kuwa
mshambuliaji huyo ana mkataba nao.
Galatasaray ilitangaza kumsaini Drogba jumatatu kwa
mpango wa uhamisho wenye thamani ya euro milioni €6 mpaka kiangazi
2014.
Shenhua imesema imesema inajipanga kuweka pingamizi.
Shenhua imesema imesema inajipanga kuweka pingamizi.
Taarifa iliyotolewa na Shenhua kupitia mtandao wa
klabu hiyo ikisomeka "Klabu imeshtushwa sana. Drogba bado ni mchezaji wa
Shanghai Shenhua kwa kuwa ana mkataba nasi nab ado yuko katika kipindi halali
cha mkataba.
"Shanghai Shenhua iko tayari kuepeleka ushahidi FIFA
ili kupinga jaribio hilo”
0 Comments