Mtoto Tula Dastan Myava (4) akirudisha mpira wa
mwalimu wake (hayupo pichani) wakati wa
mazoezi ya mchezo wa tenis katika Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam.
VYETI VYA WAFAMASIA VITUMIWE NA WAHUSIKA
-
Na, WAF-Dodoma
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa wito kwa wamiliki wa
maduka ya dawa kuhakikisha vyeti vya wafamasia vinavyotumika kwenye...
56 minutes ago
0 Comments