Mheshimiwa
Balozi, Peter Kallaghe, akipokea zawadi ya CD na DVD kutoka kwa
Wanainjili hao Dada Flora Mbasha na Mumewe Bwana E. Mbasha. Wanainjili
hao wakiwa nchini Uingereza, walitembelea Miji ya Glasgow, Chemsford na
Reading na wanatarajiwa kurejea Tanzania kesho siku ya Ijumaa 11/01/2013
Balozi
wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe, akiwa kwenye
picha ya pamoja na wanamuziki maarufu wa Kimataifa wa nyimbo za Injili
Dada Flora Mbasha na Mumewe Bwana E. Mbasha (Kulia), Askofu Ernest
Irungu, ambaye ni Kiongozi wa nyimbo za Injili na ni Mkuu wa Chuo cha
Vision College of Theology kilichopo London, Uingereza, mama Zest Irungu
(mke wa Bishop Irungu) na Bibi. Mwambola, walipotembelea Ofisi za
Ubalozi jana. Bwana na Bibi Mbasha wapo nchini Uingereza, wakitokea
Amerika kujitangaza na kutangaza Injili.
TRA YATOA ELIMU MFUMO MPYA WA IDRAS
-
Farida Mangube, Morogoro
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kuanza rasmi matumizi ya Mfumo
Jumuishi wa Usimamizi wa Ukusanyaji wa Mapato ya...
TRA YATOA ELIMU MFUMO MPYA WA IDRAS
-
Farida Mangube, Morogoro
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kuanza rasmi matumizi ya Mfumo
Jumuishi wa Usimamizi wa Ukusanyaji wa Mapato ya...
TANI 9 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA NCHINI TANZANIA
-
*TANI 9 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA NCHINI TANZANIA, BASI LA KING MASAI
LANASWA*
**Raia wa Kenya akamatwa akitumia biashara ya chai kuficha uuzaji wa d...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments