SHARO MILIONEA AZIKWA LEO MCHANA MUHEZA NA MAMIA



Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono na Msanii wa filamu JB wakielekea kwenye mazishi mapema mchana wa leo, Muheza mkoani Tanga.


 
 
 Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele.
 
 
 Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono na Msanii wa filamu JB wakielekea kwenye mazishi mapema mchana wa leo, Muheza mkoani Tanga. Hii ndio nyumba ya milele alimolazwa leo Hussei Sharo Millionea kwao mkoani Tanga

Post a Comment

0 Comments