NEW YORK,
Marekani
MWIGIZAJI wa
filamu nchini hapa, Nicolas Cage amepunguza deni la kodi analodaiwa kwa kulipa
kiasi cha dola 600,000.
Baada ya
kulipa kiasi hicho cha fedha hivi sasa mwigizaji huyo atakuwa akidaiwa kiasi
cha dola milioni 6.
Mwigizaji huyo amekuwa akidaiwa kiasi hicho cha fedha
kutokana na kuwa bingwa wa kukwepa ulipaji wa kodi.
Cage alijimwagia sifa kwa kulipa kiasi hicho cha fedha kwa
kusema kwamba amepunguza deni ambalo limekuwa likisumbua akili zake.
0 Comments