Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi
wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Brandina Chuwa, wakati alipokuwa akiwasili
kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Nov 22, 2012
kwa ajili ya kufungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika. Picha
na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi
wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika,
yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo
Nov 22, 2012. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja
na baadhi ya Viongozi wa Ofisi ya Takwimu waliokuwa Meza Kuu, baada ya
kufungua rasmi Maadhimisho hayo leo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu waliohudhuria
ufunguzi wa maadhimisho hayo baada ya ufunguzi rasmi uliofanyika kwenye
Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam leo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Kamishna wa Sensa
, Hajjat Amina Mrisho Said, wakati akiondoka katika Viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Nov 22, 2012 baada ya kufungua rasmi
Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika. Picha na OMR
0 Comments