Mwalimu Kibaso ambaye anafundisha masuala ya Sauti (Vocal) akiwapa mazoezi ya viungo vijana waliojiunga katika darasa la muziki linaloendeshwa na Tanzania House of Talent (THT) kila mwezi jijini Dar es Salaam. Darasa hili limekuja kutokana na maombi ya vijana wengi wanaopenda kujifunza muziki
Kila mmoja akijiachia kwa bidii kufanya mazoezi.(PICHA NA HABARI NAMATUKIO)
Akinadada nao hawakubaki mstari wa nyuma katika kufanya mazoezi.
Mazoezi ya viungo yanaendelea, ambapo vijana wengi walipendezwa nayp japo ilikuwa ni mara ya kwanza walionekana kuchoka.
Wanafunzi wakimsikiliza mwalimu Magawa ambaye aliwafundisha mabo mengi likiwemo suala la kujua aina ya muziki
Vijana wakiwa katika mazoezi ya viungo ambayo yanasaidia kuwafanya wawe na pumzi ya kuimba.
0 Comments