Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Free Media Limited, inayochapisha magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, wakiongozwa na Mhariri Mtendaji, Absalom Kibanda, wakiweka kwa pamoja shada la maua katika kaburi la marehemu Agnes Yamo. Agnes aliyekuwa mwandishi wa magazeti hayo, amezikwa Septemba 28 mchana kwenye makaburi ya Kola, Kigurunyembe mjini Morogoro.Picha na Joseph Senga, aliyekuwa Morogoro.
WADAU TIBA ASILI,AFYA NA MAZINGIRA WASHAURIWA KUIMARISHA USHIRIKIANO
-
Na Mwandishi Wetu
WADAU wote wa Tiba Asili, Afya na Mazingira nchini Tanzania wameshauriwa
kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali, mashirika na jamii k...
11 hours ago


0 Comments