Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa Bi, Halima Mohamed Mamuya ,kulila, akirudisha fomu ya kuomba kugombea nafasi hiyo kwa Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni UWT Makao Makuu Bi Riziki Kingwande Dar es salaam leo.
MADIWANI KIBAHA NA CHALINZE WATAKIWA KUIMARISHA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA
UMMA
-
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Shangwe Twamala, amewataka
Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri za Wilaya ya Kibaha na Chalinze
kuimarisha usimamizi...
3 hours ago
0 Comments