Miss Utalii Kagera 2012 Irene Bwire katikati akiwa na mshindi wa pili Jania Abdul kushoto na Mayor Kashumba mashindi wa tatu (Kulia).
Mrembo Irene bwire, mwishoni mwa wiki ameibuka mshindi wa Taji la Miss
Utalii Kagera 2012, katika shindano lililo fanyika katika ukumbi wa
Rinas Club mjini Bukoba mkoani Kagera siku ya jumamosi tarehe
14-7-2012. Erene alitwaa taji hilo kwa kuwashinda warembo wengine 14,
katika shindano ambalo mkuu wa Wilaya ya Bukoba mama Pangani alikuwa
mgeni rasmi.

Mrembo Jania Abdul alikuwa mshindi wa pili na Mayor
Kashumba alikuwa mshindi wa tatu, hivyo wote pamoja na mshindi wa
nne,watano na mshindi wa taji la Miss Utalii Vipaji watawakilisha mkoa
wa kagera katika fainali za Miss Utalii Tanzania 2012- Kanda ya
Magharibi,zitakazo fanyika mkoani Mara mwezi Oktoba 2012.
Katika shindano hilo ambalo lilisindikizwa na burudani za musiki wa
asili na wa kizazi kipya wakiwemo bendi ya Diamond Sound, msanii BK
Sanday na makundi ya ngoma za asili za mkoa wa kagera,shinfano hilo
lilianndaliwa na Dinner Fashion,huku Miss Utalii Kilimanjaro 2012
Evamary Gamba akiwa ni mwalimu wa wearembo.

0 Comments