Ujumbe wa Serikali ya Taifa ya Mpito ya Libya, ukiongozwa na Mheshimiwa Mahdi M Gaziri (watatu kushoto.), Mkuu wa Ofisi ya Mwenyekiti wa Serikali hiyo,ukiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete baada ya ujumbe huo kuwa umekutana naye Ikulu, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita (Picha na Ikulu)
BUTUA NA MERIDIANBET JUMAMOSI YA LEO
-
Jumamosi ya kusaka mapene na wakali wa ubashiri Meridianbet imefika ambapo
mechi kibao kuanzia pale Uingereza, mpaka kule Italia zitapigwa. Weka dua
ako ...
1 hour ago
0 Comments