Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo kwa kifo cha Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu Marehemu Harun Mahundi aliyefariki april 5, 2012 na kuzikwa jana jijini Dar es salaam. Hapo ni nyumbani kwa marehemu Mikocheni barabara ya Rose Garden .
KATIBU MKUU TRAMEPRO ATOA NENO WAKIADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
2026
-
SHIRIKA la Dawa Asili na Ulinzi wa Mazingira(TRAMEPRO) limesema linatambua
na kuthamini mchango wao katika kukuza na kuendeleza sekta ya tiba asilia,
amb...
6 hours ago

0 Comments