Kiongozi wa bendi ya Msondo, Saidi Mabela (kulia) akimkabidhi Saxaphone msanii mpya wa bendi hiyo Shabani Lendi Dar es Salaam leo, baada ya kuingia mkataba wa miaka miwili akitokea bendi ya Sikinde katikati ni Meneja wa bendi hiyo Saidi Kibiliti.(Picha na www.burudan.blogspot.com)
RUTO ATOA WITO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI,ASEMA MIPAKA ISIWE KIKWAZO:
-
Na Janeth Raphael MichuziTv - Bungeni Dodoma
Rais wa Kenya, William Ruto, ametoa wito mzito kwa nchi wanachama wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki kuharakish...
5 hours ago
0 Comments