TWANGA KUTWANGAMIAKA 50 YA UHURU UINGEREZA

MKURUGENZI wa Kampuni ya The African Stars Entertainment Asha Baraka , katikati kulia ni Kiongozi wa Bendi ya The African Stars Luiza Mbutu, kushoto mnenhuaji Lilian Internet  na Kiongozi msaidizi wa wanenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta  Asha Sharapova wakizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani . Bendi hiyo inatarajiwa kwenda kufanya maonyesho nchini Uingereza .
Ziara hiyo itafanyika mara baada ya kufanyika  uzinduzi wa albamu yao uliopangwa kufanyika Novemba 6  2011 ASET.
Ziara hiyo imeratibiwa na  URBAN PULSE CREATIVE na ASET mashabiki wake wametakiwa kujitayarisha kwa onyesho hiyo   mwishoni mwa Mwezi wa Novemba.
Show Hii Maalum ni kwa ajili ya maadhiimisho ya  Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania

Post a Comment

0 Comments