Mc DONALD MWAKAMELE AFAFANUA JAMBO

Mkurugenzi wa Mc Donanald Liveline Technologies, Donald Mwakamele akimfafanulia balozi wa Tanzania nchini Uganda, Nsalika Ndata umuhimu  wa kufanya kazi bila ya kuzima umeme katika maonesho ya Mkutano wa sekta ya Umeme jijini Kampala jana

Post a Comment

1 Comments

Anonymous said…
Great Job Donald , I think africa can use your expertise work on power without turning off power. Thumbs Up, Wema