WAWAKILISHI WA BUNGE LA WAWAKILISHI BUNGE LA VIJANA LONDON

 Naibu Balozi akiwa katika picha ya pamoja  na baadhi  ya maofisa  wa ubalozi , TMK  na Mapromota walioongozana nao  kuwaunga mkono
 Lucy  kushoto na Linda wakiwa katika picha ya pamoja Ubalozini.
 Mwakilishi katika Bunge la Vijana Linda Kapinga akiachia pozi.
 Mheshimiwa Naibu Balozi akiwa katika picha ya pamoja  na walioteuliwa kuwa wawakilishi katika Bunge la Vijana  Lucy na Linda..
 Urban Pusle na Miss Jestina wakifanya Mahojiano na Linda.Picha zote na URBAN PUSLE.

Post a Comment

0 Comments