Ninaomba msaada wako wa kunipostia tangazo langu katika blogu yako. Tumeandaa retreat maalum kwa ajili ya couples kuanzia Ijumaa Oktoba 14 mpaka Jumapili Oktoba 16 2011 hivyo naomba unisaidie kufikisha ujumbe kwa wapenzi wa blogu yako. Attachment iko katika Microsoft Word.
Wako,
Michaelmas A. Marie
Afisa Masoko na Mawasiliano
JCCE TOURS & SAFARIS CO., LTD
ZANZIBAR COUPLE’S RETREAT – TASTE OF LOVE
(2 NIGHTS / 3 DAYS)
Friday 14th October 2011 to Sunday 16th October 2011
JCCE TOURS & SAFARIS CO., LTD
Inapenda kuwataarifu kuwa imeandaa retreat maalum kwa wapenzi kuanzia siku ya Nyerere Ijumaa tarehe 14 Oktoba 2011 mpaka Jumapili tarehe 16 Oktoba 2011 katika hoteli maarufu hapo Stone Town ZANZIBAR BEACH RESORT.
Retreat hii ni siku tatu na ambapo wapenzi watapata fursa ya kujumuika pamoja na kutembelea baadhi ya vivutio mjini Zanzibar. Gharama yakeniUS $ 550 kwa wapenzi (watu wawili) ambayo kila kitu kimelipiwa.
- Malazi / Accommodation on Half Board Basis (Superior Rooms) for 2 Nights
- Usafiri wa Ndege (Njia Moja) / One way Flight Ticket
- Usafiri wa Boat (Njia Moja) / One way Boat Ticket
- Kutembezwa Stone Town / Guided Tour of World Heritage Stone Town
- Kutembezwa Prison Island / Guided Tour of Prison Island
- Chupa ya Mvinyo / Bottle of Wine and fruit platter
- Candle Lit Dinner by the pool side
- Zawadi Maalum kwa wapenzi / Special Gift for the Couple
Kwa maelezo zaidi na kujiandikisha tafadhali wasiliana nasi kupitia simu namba +255 783 600 304 au tuandikie kupitia enquiries.jccetz@gmail.com / jccetz_tours_safaris@yahoo.com Pia unaweza kutufuata Twitter @JCCE_TOURS_TANZ au kutembelea page yetu Facebook JCCE TOURS & SAFARIS CO., LTD
Mwisho wa kujiandikisha ni Oktoba 8 2011, Saa 5 asubuhi
© JCCE TOURS & SAFARIS CO., LTD 2011
0 Comments