Mabondia,makocha pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini wakiangalia DVD zinazotahalishwa na Kocha wa mchezo wa ngumi timu ya Ashanti na Timu ya Mkoa wa Ilala kimichezo, Rajabu Mhamila 'Super D' ayupo pichani ambazo zinafundisha mafunzo ya mchezo huo kabla ya kuondoka kwenda Msumbiji kushirika Mashindano ya 'ALL AFRICA GAME' yatakayoanza mapema wezi ujao timu hiyo ni ya kwanza kwa Tanzania kuondoka . (Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/)..
TANZANIA NA MAREKANI KUIMARISHA MAHUSIANO KWENYE SEKTA YA AFYA
-
Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Mei 14, 2026 amekutana na Kaimu
Balozi wa Marekani Nchini Andrew Lentz na kufanya majadiliano kuhusu
Mkataba ...
6 hours ago
0 Comments