WADAU WANAOMBA MSAADA KWENYE TUTA

 Pichani kulia ni Eprahim Kibonde,Wasi wasi Mwambulamba pamoja na Arnod Kayanda.
Timu ya Jahazi ya Clouds Fm inayofuraha kuwatangazia wadau wote waJahazi njia mpya na nzuri ya kutoa maoni wakati mijadala mbali mbaliinapoendelea ndani ya Jahazi la Clouds Fm.Jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa kumi jioni hadi saa 1 (4pm-7pm).Kujiunga tuma Neno JAHAZI kwenda 15774 kushiriki na kushiriki AndikaJAHAZI acha nafasi harafu andika maoni yako tuma kwenda namba 15774.NB: Huduma hii ni kwa mitandao yote ya simu na hakuna malipo ya ainayeyote ila yatatozwa.

Post a Comment

0 Comments