Actor toka Nigeria,Ramsey Noah amenusurika kifo baada ya kuanguka toka ghorofani wakati ana shoot movie mpya akiwa nchini Ghana.
Ramsey alikua on set na actors Nana Ama McBrown,Beverly Afaglo,Roslyn Ngissah,Nana Hayford wakiwa wnajiandaa Hotel Babylon,Where Clothes Are Naked chini ya directer Kobi Rana,Na alianguka toka kwenye ghorofa na inasemekana Ramsey ameumia kwa ndani aka internal bleeding baada ya kulalamika maumivu ya tumbo huku akitoka damu mdomoni na kupewa huduma ya kwanza fasta kabla ya kupelekwa hospitali jijini Accra
Ramsey alishawahi kupata ajali ya pikipiki mwaka 2007 na kufunguka kuwa ajali hiyo ni kama nyingine na kusemekama kuwa ameweka jino la bandia baada ya ajali (Chanzo Foto Baraza)
Waziri Sangu Awataka MaDG Kuelekeza Mikakati Dira 20
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus
Sangu ametoa wito kwa Wakurugenzi wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi hiyo
kuhakik...
13 minutes ago

0 Comments