SERENGETI FIESTA DAR YAFANA


Sehemu ya baadhi ya wadau wakishangilia kama siyo kupagawa na Tamasha hilo pendwa la Serengeti Fiesta 2011, ambalo limefanyika kwa mara ya kumi sasa.
Mwasiti akikamua  katika jukwaaa la Sereneti Fieata.
Hapa ilikuwa ni vijana wa kundi la Tip Top Connection wakisababusha fujo za raha ya muziki katika Msimu wa Dhahabu unaoendelea.
Yaani hawa walikuwa tayari kwa kutoa huduma ya kwanza endapo pangetokea majotroo ya kuumwa ghafla au kuumia huku kitu cha Ambulance kikiwa kimetulia pembeni hakipopichani.
Muimbaji chipukizi na mwenyemvuto awapo jukwaani Lina hapa akiwachangachangaya mashabiki ilipofika zamu yake.
Wacheza shoo wa Raisi wa Wasafi Diamond Platnum.
Diamond Platnum akiwa amebana pua hapa akiimba kwa hisia kalii.
Mtangazaji  mahiri katika  Redio na Luninga ya Clouds kupitia kipindi cha Kambi Popote Antonio Nugas na mimi katika  Tamasha hilo lililofana.
Hawa ni Mabosi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Ephraim Mafuru na Allan Chonjo wakiwa kazini wakihakikisha mambo yanakaa sawaa usiku  wa kuamkia leo, hapa wakikagua mambo flani.
Wadau kutoka CLouds TV.
Wadau katika picha ya pamoja.
Maua yalikuwa memngi.
Hapa ni majamaa yakiwa yamepagawa na raha za Serengeti Fiesta 2011 ndani ya Leaders Club.
Barnaba akiwa kapozi kidogo nyuma ta Stage.
Juma Nature akiwa na washkaji.
Victor Masangu Mwakilishi wa Tanzania Daima  Kibaha Mkoa wa Pwani na Khadija

Post a Comment

0 Comments